Ester Mndeme

Providing nutrition education and counselling in Tanzanian local communities, currently in Mkuranga - Pwani region. My goal is to raise awareness on how to improve our health through nutrition - in all human life stages.

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi

Afya ya uzazi ni swala ambalo limekua likigusa watanzania wengi na katika kufanya kazi kwenye  maeneo ya hospitali ni swala ambalo nimekutana nalo mara kwa mara.     Katika jamii zetu, changamoto za uzazi zimekua zikiongezeka kila siku na kwa kasi kubwa; watu wengi wanahangaika kutafuta suluhisho za aina mbalimbali bila mafanikio. Hii ndio sababu […]

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi Read More »

Nutritional flour

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia

Unga wa lishe, katika jamii yetu, umezoeleka kuwa ni unga ambao unatumiwa na watu kwa ajili ya kupikia uji ambacho ni chakula kinachotumiwa na watu wengi – asubuhi au jioni.   Au kama kutakua na mgonjwa, basi hutengenezewa uji ili aweze kupata chakula kinacholika kwa urahisi hasa kwasababu chakula hichi huwa katika hali ya kimiminika.

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia Read More »

Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini?

Sahani inayofaa ni kitu gani hasa? Hii ni sahani ya mlo ambayo imebuniwa na wataalamu wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani. Unaweza kujiuliza inapatikana wapi sahani hii inayofaa! Je, inamaanisha sahani zetu tunazotumia nyumbani hazifai?   Sahani hii ya mlo unaofaa inakupaswa kuitumia pale unapotaka kula mlo wako wa siku ili uhakikishe

Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini? Read More »

swSW