Ester Mndeme

Providing nutrition education and counselling in Tanzanian local communities, currently in Mkuranga - Pwani region. My goal is to raise awareness on how to improve our health through nutrition - in all human life stages.

Vyakula Vinavyosaidia Ngozi Yako Kutozeeka

“Kadri miaka inavyoenda, ndivyo binadamu tunazidi kukua.”   Katika hali ya ukuaji kuna  mabadiliko mbalimbali ya kimwili hutokea na hivyo basi tunatakiwa kuzingatia ulaji bora ili tuwe na afya imara itakayotusaidia kuzuia hali za kupungukiwa nguvu kwa haraka sana.     Hii ni kwa sababu katika vipindi vya uzee kuna mabadiliko mbalimbali ya kimwili hutokea […]

Vyakula Vinavyosaidia Ngozi Yako Kutozeeka Read More »

Essie’s Products: Viungo Bora vya Kupikia Chakula

Nani yuko nyuma ya bidhaa za vyakula za Essie’s? Kwa majina naitwa Ester Mndeme. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto watatu.   Baba yangu ni fundi seremala aliyejitahidi sana katika kazi za mikono na kufanikiwa kutusomesha mpaka tukafika elimu za juu. Hio ilikuwa ni ndoto yake ambayo ameifanikisha.    Kitaaluma, mimi ni

Essie’s Products: Viungo Bora vya Kupikia Chakula Read More »

Je! Ni Kweli Soda au Juisi za Rangi Nyekundu Huongeza Damu?

Habari yako mpenzi msomaji?   Najua si jambo geni kusikia swala la upungufu wa damu hasa kwa watoto, wajawazito, pamoja na wasichana walio katika umri wa kuzaa. Kwa wengi wetu imekua ni kawaida  kutafuta namna mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia kutatua changamoto hii ya upungufu wa damu mwilini hasa tukiamini kwamba vitu kama soda zenye rangi

Je! Ni Kweli Soda au Juisi za Rangi Nyekundu Huongeza Damu? Read More »

Mtoto Wangu Haongezeki Uzito, Nifanye Nini?

“Mtoto wangu haongezeki uzito, nifanye nini?”   Hili ni swali ambalo liko katika akili za wazazi wengi wanaojali afya za watoto wao, kipindi ambacho watoto wanakua wananyonya na katika kipindi ambacho watoto wanaanza kutumia vyakula mbadala.    Muhimu ni kufahamu kwamba kipindi ambacho mtoto anakua kunakua na kiasi maalumu cha upandaji wa uzito huu.   

Mtoto Wangu Haongezeki Uzito, Nifanye Nini? Read More »

Tumbo Kukereketa/Kuvimbiwa: Visababishi na Vyakula vya Kutumia

“Hivi punde nimekua nikijisikia hali ya tumbo kujaa gesi na hali hii inaponikuta huwa napoteza hamu ya kula kwa sababu najisikia kua nimeshiba wakati wote . Na pia ninafikiria namna utumbo unaweza kuwa na mabaki ya chakula kinachokua kimemeng’enywa na kusababisha hali ya gesi tumboni.”     Nini hutokea hadi kusababisha hali ya tumbo kujaa au

Tumbo Kukereketa/Kuvimbiwa: Visababishi na Vyakula vya Kutumia Read More »

Vyakula Vinavyoimarisha Kinga ya Mwili Dhidi ya Magonjwa

Wimbi la magonjwa mbalimbali, yasioambukiza na yanayoambukiza, linaendelea kuenea katika sehemu mbalimbali, hasa za mijini, na hali hii inapelekea watu kujiuliza wawe wanakula nini ili kuimarisha kinga ya mwili na kujiepusha kupata magonjwa haya.   Mfano wa magonjwa yasioambukiza ni kisukari, presha, kansa na magonywa ya moyo. Kifua kikuu (TB), Ukimwi, Corona, dengi, surua, homa

Vyakula Vinavyoimarisha Kinga ya Mwili Dhidi ya Magonjwa Read More »

Mambo 10 ya Kuzingatia Wakati Unafanya “Dieting” ili Kupungua Uzito

Nimeamua kuandika makala hii kwa sababu watu wengi huwa wanatamani kujua vitu vya kufanya ili waweze kupungua uzito hasa katika eneo la tumbo au kitambi.   Uzito uliozidi umekua ukihusishwa moja kwa moja na hatari ya mtu kupata magonjwa yasiyoambukiza kama vile shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo, magonjwa ya mifupa, kisukari na

Mambo 10 ya Kuzingatia Wakati Unafanya “Dieting” ili Kupungua Uzito Read More »

Jinsi Ulaji wa Nyama na Samakigamba Unavyopelekea Ongezeko la Uric Acid Mwilini

Uric Acid ni kemikali ambayo ikiongezeka kwa wingi mwilini hupelekea utengenezwaji wa chembe ngumu, watu wengine huita mawe, ambayo hujikusanya na kusababisha gout au arthritis kwa upande wa miguu na mifupa.   Lakini pia, katika mfumo wa mkojo uric acid hii hupelekea kutengenezwa kwa chembe ngumu ambazo hujulikana kwa lugha iliyozoeleka kama mawe katika figo.

Jinsi Ulaji wa Nyama na Samakigamba Unavyopelekea Ongezeko la Uric Acid Mwilini Read More »

swSW