Ansbert Mutashobya, MD

Chief Content Officer (CCO) at Abite Afya I'm responsible for overseeing the entire content strategy, ensuring that all published materials align with the blog’s mission, audience needs, and business goals.

Kila Nikianza Mazoezi Naishia Njiani, Nifanyeje?

Naitwa Faith, nina miaka 30. Kwa miaka mitatu mfululizo, kila nikianza mazoezi naishia njiani – sifikii lengo. Mwaka huu nimeanza tena lakini ndani ya wiki moja tu nikaacha. Jirani yangu kaanza mazoezi ana mwezi sasa, na naona anapungua uzito. Juzi alinambia wamekata kilo kumi. Kwanini mimi inakuwa ngumu?   Majibu na Dr. Ansbert Mutashobya Karibu […]

Kila Nikianza Mazoezi Naishia Njiani, Nifanyeje? Read More »

Faida Tano za Kutofanya Mapenzi kwa Muda Mrefu

Kufanya mapenzi ni sehemu ya maisha, na ina faida nyingi za kiafya na kijamii. Mojawapo ikiwa ni kupata watoto, lakini pia ni sehemu ya starehe ya wanyama.   Kufanya mapenzi huwa na msaada wa kisaikolojia, kuleta muunganiko wa upendo kati ya wapendanao. Mahusiano yasiyojumuisha kufanya mapenzi yaweza kuharibika haraka sana kwakuwa hayana msingi imara.  

Faida Tano za Kutofanya Mapenzi kwa Muda Mrefu Read More »

“Presha yangu haishuki pamoja na kumeza dawa mara kwa mara”

Presha au shinikizo la damu (high blood pressure) ni hali ya mwili kuwa na mgandamizo mkubwa katika mzunguko wa damu, hivyo kufanya moyo kusukuma damu kwa shida kutokana na kuwa na ukinzani (force) mkubwa kwenye damu.   Hali hii hufanya mishipa ya damu kubeba damu katika mgandamizo mkubwa hivyo kupelekea uwezekano wa kupasuka na kuvujia

“Presha yangu haishuki pamoja na kumeza dawa mara kwa mara” Read More »

swSW