Ansbert Mutashobya, MD

Chief Content Officer (CCO) at Abite Afya I'm responsible for overseeing the entire content strategy, ensuring that all published materials align with the blog’s mission, audience needs, and business goals.

Insecurity and Cigarette Smoking: Unrequited Love!

Cigarette smoking has been a sensitive issue in our communities. It’s a most common substance used worldwide. Previously it was men who were smoking 7 times more than women, but as per current data, the gap is becoming very narrow especially in developed countries.   While cigarette smoking is becoming less in developed countries, it

Insecurity and Cigarette Smoking: Unrequited Love! Read More »

Changamoto 5 Zinazoweza Kupelekea Kushindwa Kupata Mtoto

Naitwa Jackson, nina miaka 35, nimejaribu sana kupata mimba na mchumba wangu kwa miaka miwili sasa bila mafanikio. Mimi na mchumba wangu tulikutana mwaka 2020 na mwaka uliofuata tukaanza kutafuta mtoto lakini ni miaka miwili sasa bila mafanikio, nifanyeje daktari?   Majibu na Dr. Ansbert Mutashobya Pole sana bwana Jackson kwa tatizo hilo. Ni jambo

Changamoto 5 Zinazoweza Kupelekea Kushindwa Kupata Mtoto Read More »

Kila Nikikutana na Mwanamke Mpya Nampa Mimba, Nifanyaje?

Calvin ni kijana wa miaka 28, afisa mifugo anayeishi Sanawali Arusha. Katika maisha yake amekuwa na mikasa sana na wanawake. Kila akipata demu mpya, baada ya mwezi mimba! Mpaka sasa ana watoto 6 mtaani achana na wale ambao mademu zake waliamua kutoa mimba.   Nilikutana nae maeneo ya Players Hotel, Njiro Arusha, na wakati tunapata

Kila Nikikutana na Mwanamke Mpya Nampa Mimba, Nifanyaje? Read More »

Kutana na Facts 14 Ulizokua Hujui Kuhusu Presha ya Kupanda na Kushuka

Je wajua? Presha ya kupanda huweza kutokea katika umri wowote ule; inategemea kisababishi ni nini. Kwahiyo ni vizuri kujua kiasi cha presha yako walau kila baada ya miezi sita.   Je wajua? Ugonjwa wa presha unaweza kurithiwa kutoka katika ukoo au familia. Hivyo kama mmoja wa ndugu zako – aidha babu, shangazi, mjomba, baba, dada

Kutana na Facts 14 Ulizokua Hujui Kuhusu Presha ya Kupanda na Kushuka Read More »

Sehemu 2: Njia Kuu Tatu za Kulinda Mifupa Yako

Bila shaka katika mada iliyopita ulijifunza mambo mbalimbali ya kuhusu mifupa yako. Kama hukuisoma, nakushauri uanze nayo kwanza ili upate picha halisi ya mifupa yako.   Kutunza mifupa yako ni sehemu ya kuimarisha afya. Jiulize utafanya shughuli gani bila mifupa kuwa imara? Katika hali ya kawaida mfupa ukivunjka au hata kupata crack, maumivu yake yanaweza

Sehemu 2: Njia Kuu Tatu za Kulinda Mifupa Yako Read More »

Sehemu 1: Mifupa Yako Ina Mengi ya Kujifunza! Je Wajua?

Leo ningependa kukutanisha na facts 12 kuhusu mifupa yako ambazo – labda – ulikua huzijui. JE, WAJUA?   Je wajua? Mtoto huzaliwa akiwa na idadi ya mifupa 275 katika mwili wake. Akikua baadhi ya mifupa huungana kutengeneza mifupa mirefu. Akiwa mtu mzima, mifupa hubaki 206 tu.   Je wajua? Mifupa hiyo 206 ndiyo huungana kutengeneza

Sehemu 1: Mifupa Yako Ina Mengi ya Kujifunza! Je Wajua? Read More »

swSW