Tambua jinsi ya kujiandaa na kuufurahia uzee wako kila sekunde
Uzee ni lazima uje, hauwezi kuwa kijana maisha yako yote. Kuna muda utafika, utazeeka tu! Lakini swala la muhimu sio kuzeeka, ni utazeeka vipi? Uzee wako utakuwa wa aina gani? Huzuni, maumivu au furaha? Makala hii inalenga kukuonesha namna ya kuufanya uzee wako kuwa wa furaha pamoja na changamoto zinazojitokeza ukizeeka. Mtu […]
Tambua jinsi ya kujiandaa na kuufurahia uzee wako kila sekunde Read More »










