Ansbert Mutashobya, MD.

Chief Content Officer (CCO) at Abite Afya I'm responsible for overseeing the entire content strategy, ensuring that all published materials align with the blog’s mission, audience needs, and business goals.

Madhara Matano ya Uzito Mdogo 

Mara nyingi tukiongelea uzito watu wengi huangalia uzito mkubwa kama tishio kwenye afya.   Ulishawahi kujiuliza mtu akiwa na uzito mdogo kupita kawaida ina athari gani kwenye afya? Usiumize kichwa sana kwasababu makala hii itakupa majibu ya swahi hilo.    Uzito kiasi gani huesabika kama uzito mdogo? Jibu ni kwamba hakuna uzito maalum unaohesabika kama […]

Madhara Matano ya Uzito Mdogo  Read More »

Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako

Katika kutibu ugonjwa kuna njia nyingi, mojawapo (ambayo ni kubwa) ni matumizi ya dawa. Asilimia 90% ya wagonjwa wanapoumwa macho hukimbilia kwenye dawa wakiamini kwamba dawa pekeee ndiyo inaweza au inatakiwa kutibu au kufanya ugonjwa kuwa nafuu.    Bahati mbaya matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu zimechangia kupata madhara mengine kama vidonda vya tumbo, kuvimba

Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako Read More »

Maumivu ya Kisigino na Unyayo: Visababishi na Njia za Kutibu

Maumivu ya kisigino na unyayo (plantar pain) ni moja ya changamoto kubwa katika jamii. Tatizo hili lipo sana kwa wanamichezo na wanawake wenye uzito mwingi na vitambi.    Husababishwa na nini? 1. Plantar Fasciitis Hii ni hali ya utando wa chini wa sole ya  mguu, fascia (utando mweupe ambao huunganisha kati ya kisigino na vidole),

Maumivu ya Kisigino na Unyayo: Visababishi na Njia za Kutibu Read More »

American Stroke Association: Stroke Disease Statement

“Asilimia 80% ya Visababishi vya Kiharusi Vinazuhilika” – American Stroke Association

Asilimia 80 % ya visababishi vya kiharusi vinazuhilika – American Stroke Association   Wanawake nao watajwa.   Taarifa hii imetolewa na taasisi ya utafiti wa ugonjwa wa kiharusi nchini Marekani (American Stroke Association) katika mwongozo wao mpya wa matibabu uliotolewa September mwaka huu 2024. Mara ya mwisho taasisi hii kutoa muongozo wa matibabu ya kiharusi

“Asilimia 80% ya Visababishi vya Kiharusi Vinazuhilika” – American Stroke Association Read More »

Elon Musk's Optimus

Tesla Wamekuja na Roboti za Kubebea Mimba kwa Miezi 9

Katika habari zilizozua gumzo duniani kwa sasa ni baada ya mitandao mbalimbali duniani kuripoti mpango uliodokezwa na kampuni ya Tesla inayomilikiwa na tajiri namba moja duniani – Elon Musk.    Kampuni hii imegusia mpango wa kutengeneza roboti aitwae Optimus Humanoid – ambaye atakuwa na uwezo wa kubeba mimba miezi 9.   Roboti hii ikikamilika itawafanya

Tesla Wamekuja na Roboti za Kubebea Mimba kwa Miezi 9 Read More »

Dalili Tatu za Hatari Kwenye Kipindi cha Ujauzito

Kubeba mimba na kuzaa mtoto ni tamanio la kila mwanamke japo huwa ni safari yenye changamoto mbalimbali. Maombi yangu kwako ewe mama mjamzito Mungu akutangulie ujifungue salama. Unapojifungua salama, safari isiiishie hapo bali endelea kuwaombea na wamama wengine nao wajifungue salama.   Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za afya, imejitahidi sana kupunguza

Dalili Tatu za Hatari Kwenye Kipindi cha Ujauzito Read More »

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako

Kuna maana yoyote kuzingatia unakula muda gani? Tulipokuwa watoto, chochote unachoshika au kupewa mwisho wa siku unaelekeza mdomoni. Ila baada ya kukua, kabla hujaweka kitu mdomoni, lazima ujiulize maswali matatu: Je! Ni muhimu? Ni lazima? Ni muda sahihi?   Maswali mawili ya kwanza (muhimu na lazima) kila mtu mwenye ufahamu lazima ajiulize. Swali la tatu

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako Read More »

“Presha ya Mimba”: Kila Kitu Unachopaswa Kufahamu

Mara ya kwanza kusikia presha ya mimba ulikuwa wapi au ulikuwa na hali gani?   Binafsi niliifahamu presha ya mimba wakati niko katika mafunzo ya udaktari. Kabla ya hapo nilikuwa sina taarifa yoyote (mweupe kabisa) ndio maana nahisi nawewe waweza kuwa hauna ufahamu wa elimu hii.   Zamani nilidhani presha ya mimba ni ile hofu

“Presha ya Mimba”: Kila Kitu Unachopaswa Kufahamu Read More »

swSW