Ningependa Kuboresha Zaidi Rangi ya Meno Yangu, Nifanyeje?

Meno ya binadamu – mtu mzima – kwa kawaida huwa na rangi ya maziwa (cream) na sio nyeupe kabisa kama karatasi. Ubadilikaji wa rangi ya meno husababishwa na mambo mbalimbali kama vile kutosafisha kinywa vizuri, utumiaji wa vyakula na vinywaji kama vile kahawa, chai ya rangi, mbogamboga, matunda, pipi na kadhalika.     Matumizi ya […]

Ningependa Kuboresha Zaidi Rangi ya Meno Yangu, Nifanyeje? Read More »