Carolyn Mwasha, DDS

“For the love of words”

Is There a Relationship Between Mental Health and Oral Health?

Did you know that mental health and oral health are closely connected aspects of your overall well-being? With each aspect influencing the other in a complex interplay of factors.   It is my aim to shed light on the psychological impact that your oral health can cause to your mental health and the reciprocal relationship

Is There a Relationship Between Mental Health and Oral Health? Read More »

Ninatoa Harufu Mbaya Mdomoni, Nifanyeje?

Nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu akiwa na sauti yenye maswali mengi. Simu hii ilienda hivi: “Ninaomba ushauri wako, naomba usimjulishe mtu kuhusu hili maana ni kitu cha aibu hata kwangu binafsi. Nimegundua kuwa huwa natoa harufu sana mdomoni kwangu. Sijajua hali hii inatokea kwasababu gani ila sipendezwi nayo kabisa angali huwa napiga mswaki vizuri

Ninatoa Harufu Mbaya Mdomoni, Nifanyeje? Read More »

Fahamu Changamoto 3 Muhimu Katika Ukuaji wa Meno ya Mtoto Wako

Meno ni kiungo kimojawapo mwilini kilicho kidogo lakini muhimu katika kinywa. Meno hucheza jukumu kubwa katika maisha yako ya kila siku. Hufanikisha kazi ya kutafuna, kusema, na hata kuchangia katika urembo wa uso wako.   Mchakato wa ukuaji wa meno, unaojulikana kama odontogenesis, ni safari ndefu inayoanza kabla hata haujazaliwa. Kuelewa jinsi meno yanavyotokea na

Fahamu Changamoto 3 Muhimu Katika Ukuaji wa Meno ya Mtoto Wako Read More »

Jinsi Ugonjwa wa Kisukari Unavyoweza Kuathiri Afya Yako ya Kinywa

“Kisukari” au ugonjwa wa kisukari (diabetes) ni ugonjwa uliosheheni sana katika jamii zetu. Kisukari ni hali ya kiafya inayotokea wakati kiwango cha sukari (glucose) kwenye damu kinapokuwa juu sana.   Kuna aina tofauti za kisukari, ikiwa ni pamoja na kisukari cha aina ya 1, kisukari cha aina ya 2, na kisukari cha ujauzito (gestational diabetes).

Jinsi Ugonjwa wa Kisukari Unavyoweza Kuathiri Afya Yako ya Kinywa Read More »

Je, Ni Lazima Kutumia Meno Bandia Ninapopoteza Meno?

Meno bandia – yaani dentures – ni zana unazoweza kutumia kama umepoteza (kung’oa) meno baadhi au yote katika kinywa chako.  Zana hizi hukusaidia kurejesha uwezo wako wa kutafuna au kung’ata, kuleta muonekano mzuri na kusaidia uso wako kutokusinyaa.     Zana hizi hutengenezwa kulingana na maumbile yako ya kinywa. Hivyo basi, huwezi kwenda duka la

Je, Ni Lazima Kutumia Meno Bandia Ninapopoteza Meno? Read More »

Oral Hygiene Practices during Pregnancy: Myths, Facts and Best Practices

“Chupa yangu imevunjikia mdomoni” to mean “My water broke in my mouth” is a common phrase that I, personally as a dentist, encounter with most mothers I come across with within my community. They usually mean that it was during their pregnancies that they had experienced most of their teeth becoming carious and eventually leading

Oral Hygiene Practices during Pregnancy: Myths, Facts and Best Practices Read More »

Nyaya (Orthodontic Braces) Kwenye Meno ni Urembo au Matibabu?

Nimetumia neno nyaya kwani ndivyo wengi huita vifaa hivi vya kurekebisha mpangilio wa meno yaani orthodontic braces. Inawezekana hata wewe ulishawahi kuziita nyaya za meno au ukadhani kuwa ni urembo wa mdomoni. Wengine huenda mbali hadi kuziita senyenge za mdomoni na majina mengine kadha wa kadha.   ”Mh! Hizo nyaya umeweka huko mdomoni ni za

Nyaya (Orthodontic Braces) Kwenye Meno ni Urembo au Matibabu? Read More »

swSW