Carolyn Mwasha, DDS

“For the love of words”

Strategies to overcome dental anxiety

Understanding and Overcoming Dental Anxiety: Strategies for Patients

A dental anxiety is a common challenge, but it doesn’t have to prevent you from getting the care you need. If you’ve ever felt nervous about going to the dentist, you’re definitely not alone. Many people experience anxiety or fear when it comes to dental visits.   By understanding your fears, using practical strategies to […]

Understanding and Overcoming Dental Anxiety: Strategies for Patients Read More »

Ugonjwa wa Ufizi Unatibika?

Ugonjwa wa ufizi ni hali inayotokea pale ambapo tishu zinazozunguka na kushikilia meno zinapovimba au zinaposhambuliwa na wadudu.     Ugonjwa huu unaweza kuanzia kama gingivitis, hali ya awali ambayo ni ya kawaida na inaweza kutibiwa kwa urahisi. Ikiwa haitatibiwa, gingivitis inaweza kusababisha periodontitis, hali kali zaidi inayoweza kusababisha kupoteza meno na kuathiri afya ya

Ugonjwa wa Ufizi Unatibika? Read More »

Fahamu madhara ya kutosafisha ulimi wako mara kwa mara na njia bora za usafi wake

Ulimi ni kiungo muhimu sana katika mdomo wako, lakini mara nyingi husahaulika katika usafi wa kila siku wa kinywa. Kusafisha ulimi ni hatua muhimu ambayo inapaswa kujumuishwa katika ratiba yako ya usafi wa kinywa.   Hebu tuchunguze kwa undani umuhimu wa kusafisha ulimi, kwani kuna magonjwa ya kinywa yanayoweza kugundulika kupitia ulimi hivyo kuuzingatia ni

Fahamu madhara ya kutosafisha ulimi wako mara kwa mara na njia bora za usafi wake Read More »

Unafahamu Athari za “Ugaga Mgumu” Kinywani Mwako?

Afya ya meno ni sehemu muhimu sana ya afya ya mwili kwa ujumla. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayoweza kutokea kinywani ni calculus, yaani ugaga mgumu. Ndiyo! Ugaga uleule unaotokea kwenye kisigino cha mguu unaweza pia kutokea kwenye meno yako!   Calculus ni nini? Calculus, pia hujulikana kama tartar, ni mabaki ya chakula na bakteria yanayojikusanya

Unafahamu Athari za “Ugaga Mgumu” Kinywani Mwako? Read More »

Athari za ngono ya mdomo kwa afya ya kinywa chako

Habari yako? Leo tutajifunza jambo jipya, lenye ukakasi kidogo, kuhusu afya yako ya kinywa: Athari za ngono ya mdomo kwenye kinywa.   Ingawa mada hii, mara nyingi, huepukwa kujadiliwa kwa uwazi katika mazungumzo ya umma au hata kikawaida kati ya marafiki na hata wapenzi, ni muhimu kuijadili kwa ukweli na heshima.   Kuelewa hatari zinazoweza

Athari za ngono ya mdomo kwa afya ya kinywa chako Read More »

swSW