Nasumbuliwa na UTI Kila Mara, Nifanyeje?
Bila shaka swali kama hili sio geni kwako au inawezekana na wewe ni muhanga wa changamoto hii. Unapambana nayo vipi? Au unaishi nayo tu kama kawaida? Binafsi kama daktari nimekutana na wagonjwa wa namna hii mara kwa mara na nimekuwa nakijitahidi kutoa elimu ili kuhakikisha kila ninayekutana nae anapata msaada. Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao wanahisi UTI yao haiponi na inajirudia mara kwa mara basi usiache kusoma makala hii mpaka mwisho. Itakusaidia kupata njia sahihi ya kupita; njia namba tano itakushangaza. Neno UTI ni kifupisho cha neno la kiingereza lijulikanalo kama Urinary Tract Infection, yaani maambukizi ya njia ya mkojo. Maambukizi haya, mara nyingi, husababishwa na bakteria mbalimbali […]
Nasumbuliwa na UTI Kila Mara, Nifanyeje? Read More »

