Nyama ya Ng’ombe/Mbuzi: Tule au Tusile?
Swala la ulaji wa nyama nyekundu ni swala ambalo katika jamii nyingi huwa na maana ya uthamani. Nikisema uthaman namaanisha ni swala linalofurahiwa na watu. Mfano wa nyama nyekundu ni nyama ya ng’ombe na mbuzi; chakula ambacho mara nyingi hutumika katika sherehe za hapa na pale. Ulaji wa nyama huashiria furaha, pongezi, ushindi, na kadhalika. […]
Nyama ya Ng’ombe/Mbuzi: Tule au Tusile? Read More »

