Njia Kuu 4 za Kujikinga na Malaria
“Mwaka 2015 mtoto wetu wa miaka 6 alifariki kwa sababu ya ugonjwa wa malaria.” Alisema mama mmoja kwa uchungu wakati tukizungumza mawili matatu. “Hatukuwahi kabisa kuzingatia maagizo ya afya ya kujikinga na malaria na ndio sababu.” Aliongezea mama huyo huku machozi yakimlenga. Ni rahisi sana kupuuzia maagizo ya wataalam kuhusu namna ya kujikinga […]
Njia Kuu 4 za Kujikinga na Malaria Read More »