Januari 2025

Faida za Kiafya za Kupunguza Uzito Wako 

Unapoweka malengo ya kupunguza uzito huwa unalenga nini hasa?   Je unataka muonekano mzuri? Unataka kuongeza ujasiri (confidence)? Au unataka kumfurahisha mchumba wako? Wengine hupunguza uzito ili waigize filamu au watoe wimbo fulani.  Kwa bahati mbaya asilimia 95% ya watu wanaojaribu kupunguza uzito hushindwa. Kama umeweza basi kuna sababu ya ziada na ya kipekee iliyokusaidia […]

Faida za Kiafya za Kupunguza Uzito Wako  Read More »

swSW