Sababu 3 Kwanini Unapata Maumivu ya Mgongo
Kama umefatilia, tatizo la maumivu ya mgongo ni moja ya matatizo sugu sana kwenye jamii yetu; kama sikosei, wewe pia limeshakukuta au unalo. Hauko peke yako, kutokana na ripoti za Shirika la Afya Duniani, takribani ya watu million 619 duniani wanasumbuliwa na maumivu ya mgongo. Hii ni sawa na asilimia 10% ya watu wote […]
Sababu 3 Kwanini Unapata Maumivu ya Mgongo Read More »