Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako
Katika kutibu ugonjwa kuna njia nyingi, mojawapo (ambayo ni kubwa) ni matumizi ya dawa. Asilimia 90% ya wagonjwa wanapoumwa macho hukimbilia kwenye dawa wakiamini kwamba dawa pekeee ndiyo inaweza au inatakiwa kutibu au kufanya ugonjwa kuwa nafuu. Bahati mbaya matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu zimechangia kupata madhara mengine kama vidonda vya tumbo, kuvimba […]
Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako Read More »