Oktoba 2024

American Stroke Association: Stroke Disease Statement

“Asilimia 80% ya Visababishi vya Kiharusi Vinazuhilika” – American Stroke Association

Asilimia 80 % ya visababishi vya kiharusi vinazuhilika – American Stroke Association   Wanawake nao watajwa.   Taarifa hii imetolewa na taasisi ya utafiti wa ugonjwa wa kiharusi nchini Marekani (American Stroke Association) katika mwongozo wao mpya wa matibabu uliotolewa September mwaka huu 2024. Mara ya mwisho taasisi hii kutoa muongozo wa matibabu ya kiharusi […]

“Asilimia 80% ya Visababishi vya Kiharusi Vinazuhilika” – American Stroke Association Read More »

Elon Musk's Optimus

Tesla Wamekuja na Roboti za Kubebea Mimba kwa Miezi 9

Katika habari zilizozua gumzo duniani kwa sasa ni baada ya mitandao mbalimbali duniani kuripoti mpango uliodokezwa na kampuni ya Tesla inayomilikiwa na tajiri namba moja duniani – Elon Musk.    Kampuni hii imegusia mpango wa kutengeneza roboti aitwae Optimus Humanoid – ambaye atakuwa na uwezo wa kubeba mimba miezi 9.   Roboti hii ikikamilika itawafanya

Tesla Wamekuja na Roboti za Kubebea Mimba kwa Miezi 9 Read More »

Dalili Tatu za Hatari Kwenye Kipindi cha Ujauzito

Kubeba mimba na kuzaa mtoto ni tamanio la kila mwanamke japo huwa ni safari yenye changamoto mbalimbali. Maombi yangu kwako ewe mama mjamzito Mungu akutangulie ujifungue salama. Unapojifungua salama, safari isiiishie hapo bali endelea kuwaombea na wamama wengine nao wajifungue salama.   Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za afya, imejitahidi sana kupunguza

Dalili Tatu za Hatari Kwenye Kipindi cha Ujauzito Read More »

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako

Kuna maana yoyote kuzingatia unakula muda gani? Tulipokuwa watoto, chochote unachoshika au kupewa mwisho wa siku unaelekeza mdomoni. Ila baada ya kukua, kabla hujaweka kitu mdomoni, lazima ujiulize maswali matatu: Je! Ni muhimu? Ni lazima? Ni muda sahihi?   Maswali mawili ya kwanza (muhimu na lazima) kila mtu mwenye ufahamu lazima ajiulize. Swali la tatu

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako Read More »

Tumbo Kukereketa/Kuvimbiwa: Visababishi na Vyakula vya Kutumia

“Hivi punde nimekua nikijisikia hali ya tumbo kujaa gesi na hali hii inaponikuta huwa napoteza hamu ya kula kwa sababu najisikia kua nimeshiba wakati wote . Na pia ninafikiria namna utumbo unaweza kuwa na mabaki ya chakula kinachokua kimemeng’enywa na kusababisha hali ya gesi tumboni.”     Nini hutokea hadi kusababisha hali ya tumbo kujaa au

Tumbo Kukereketa/Kuvimbiwa: Visababishi na Vyakula vya Kutumia Read More »

swSW