Kifafa cha Mimba: Adui Asiyetabirika!
Mimba ina mambo mengi sana. Unapobeba mimba kutakuwa na mabadiliko mengi sana kwasababu ya homoni za mimba. Mara kuvimba miguu, kuhema haraka, kuchoka, kutapika, kukojoa mara kwa mara n.k. Mambo ni mengi, muda mwingi. Kama wewe ni mama na una watoto inawezekana hujawahi kupata kifafa cha mimba maana huwa ni nadra sana kutokea. Kati […]
Kifafa cha Mimba: Adui Asiyetabirika! Read More »