Unafahamu Athari za “Ugaga Mgumu” Kinywani Mwako?
Afya ya meno ni sehemu muhimu sana ya afya ya mwili kwa ujumla. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayoweza kutokea kinywani ni calculus, yaani ugaga mgumu. Ndiyo! Ugaga uleule unaotokea kwenye kisigino cha mguu unaweza pia kutokea kwenye meno yako! Calculus ni nini? Calculus, pia hujulikana kama tartar, ni mabaki ya chakula na bakteria yanayojikusanya […]
Unafahamu Athari za “Ugaga Mgumu” Kinywani Mwako? Read More »