Juni 2024

fahamu vyakula bora kwa mwanamke katika kipindi cha ujauzito

Athari 7 za Kukosa Lishe Bora kwa Mama Mjamzito

Kipindi cha ujauzito ni kipindi ambacho mama anapaswa kuwa anakula vyakula vinavyompatia virutubisho vya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kiafya yanayotakiwa katika mwili wake na pia kwa ajili ya ukuaji bora wa mtoto tumboni mwake.   Vyakula vinavyompatia mama virutubishi vya kutosha katika kipindi cha ujauzito huimarisha afya ya mama na humsaidia mtoto kukua […]

Athari 7 za Kukosa Lishe Bora kwa Mama Mjamzito Read More »

Sonona (Depression): Safari ya Hisia za Giza

Mwaka 2018 nilikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu niliyekuwa na matumaini makubwa na ndoto nyingi za kutimiza. Nilifurahia masomo yangu, marafiki walikuwa chanzo cha furaha yangu, na siku za usoni zilionekana kung’aa.   Ghafla nilipokaribia mwaka wa mwisho nilianza kuwa mtu wa mawazo na kufikiri sana kuhusu future yangu na nini nitafanya nikirudi mtaani. Nilianza kuhisi

Sonona (Depression): Safari ya Hisia za Giza Read More »

Fahamu vyakula vya kumpatia mtoto wako baada ya kufikisha miezi 6

Wazazi wengi na walezi wa watoto waliokamilisha miezi sita, na wanaotakiwa kuwaanzishia watoto vyakula vya nyongeza, huwa na maswali mengi sana ya vyakula vya kutumia katika kuwalisha watoto wao.   Wengi wao huishia kuogopa kuwapa watoto vyakula vya aina mbalimbali wakihofia labda hawatakua wanafanya kitu sahihi kuwalisha watoto wao vyakula mbalimbali.     Je! Unajua

Fahamu vyakula vya kumpatia mtoto wako baada ya kufikisha miezi 6 Read More »

Vidonda Vya Kisukari: Vidonda Vibishi Kuwahi Kutokea!

Nilipokuwa sekondari kuna Padri mmoja nilikuwa nikimuona kila siku ana bandeji ya hospitali mguuni, alikuwa anachechemea na hakuwahi kuvaa viatu vya kufunika, bali viatu vya wazi.   Nlipodadisi kwa undani nikaambiwa ana kidonda cha sukari, ndio maana hakiponi haraka. Sikuelewa maana yake kwa wakati huo mpaka nilipokua na kupata elimu ya kutosha kuhusu vidonda vya

Vidonda Vya Kisukari: Vidonda Vibishi Kuwahi Kutokea! Read More »

Afya ya Akili na Magonjwa ya Akili: Maana, Dalili, Sababu, na Aina za Magonjwa ya Kisaikolojia

Afya ya akili ni sehemu muhimu ya ustawi wa jumla wa mwanadamu. Ni hali ya akili kuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha, kufikia malengo, na kushirikiana na jamii kwa njia yenye maana na yenye kuridhisha.   Kwa upande mwingine, ugonjwa wa akili unahusisha matatizo ambayo yanaathiri mawazo, hisia, na tabia za mtu,

Afya ya Akili na Magonjwa ya Akili: Maana, Dalili, Sababu, na Aina za Magonjwa ya Kisaikolojia Read More »

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi

Afya ya uzazi ni swala ambalo limekua likigusa watanzania wengi na katika kufanya kazi kwenye  maeneo ya hospitali ni swala ambalo nimekutana nalo mara kwa mara.     Katika jamii zetu, changamoto za uzazi zimekua zikiongezeka kila siku na kwa kasi kubwa; watu wengi wanahangaika kutafuta suluhisho za aina mbalimbali bila mafanikio. Hii ndio sababu

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi Read More »

Challenges faced by HIV+ adolescents and strategies to overcome them

It is not uncommon for children to be born with HIV, a condition that can have devastating consequences for their health and well-being.   For many adolescents, learning that they are HIV positive, during their teenage years, can be one of the most daunting challenges they will ever face.   This is particularly true for

Challenges faced by HIV+ adolescents and strategies to overcome them Read More »

swSW