Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu
Mnamo July 21, 2022 mtandao wa Centre for Disease Control and Prevention (CDC) nchini Marekani ulitolea ufafanuzi kuhusu maana halisi ya magonjwa sugu. Ulielezea kwamba, magonjwa sugu ni magonjwa ambayo hukaa mwaka au zaidi na huitaji matibabu endelevu. Pia huweza kuathiri utendaji wa kawaida wa mtu au vyote kwa pamoja. Mfano wa […]
Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu Read More »