Ninatoa Harufu Mbaya Mdomoni, Nifanyeje?
Nilipokea simu kutoka kwa rafiki yangu akiwa na sauti yenye maswali mengi. Simu hii ilienda hivi: “Ninaomba ushauri wako, naomba usimjulishe mtu kuhusu hili maana ni kitu cha aibu hata kwangu binafsi. Nimegundua kuwa huwa natoa harufu sana mdomoni kwangu. Sijajua hali hii inatokea kwasababu gani ila sipendezwi nayo kabisa angali huwa napiga mswaki vizuri […]
Ninatoa Harufu Mbaya Mdomoni, Nifanyeje? Read More »