Hemangioma: Fahamu yote kuhusu ugonjwa huu
Wiki hii ya Disemba iliyoisha (18th mpaka 22nd) nilipata nafasi kama mhudumu wa afya ya kinywa na meno kusaidia katika matibabu kwenye kambi ya ugonjwa wa hemangioma katika kitengo cha meno, hospitali kuu ya Muhimbili. Niliona watoto wengi katika umri wa kwanzia miezi na hata watu wazima, vijana na wazee wakiwa na vimbe hizi […]
Hemangioma: Fahamu yote kuhusu ugonjwa huu Read More »