Kila Nikikutana na Mwanamke Mpya Nampa Mimba, Nifanyaje?
Calvin ni kijana wa miaka 28, afisa mifugo anayeishi Sanawali Arusha. Katika maisha yake amekuwa na mikasa sana na wanawake. Kila akipata demu mpya, baada ya mwezi mimba! Mpaka sasa ana watoto 6 mtaani achana na wale ambao mademu zake waliamua kutoa mimba. Nilikutana nae maeneo ya Players Hotel, Njiro Arusha, na wakati tunapata […]
Kila Nikikutana na Mwanamke Mpya Nampa Mimba, Nifanyaje? Read More »