“Presha yangu haishuki pamoja na kumeza dawa mara kwa mara”
Presha au shinikizo la damu (high blood pressure) ni hali ya mwili kuwa na mgandamizo mkubwa katika mzunguko wa damu, hivyo kufanya moyo kusukuma damu kwa shida kutokana na kuwa na ukinzani (force) mkubwa kwenye damu. Hali hii hufanya mishipa ya damu kubeba damu katika mgandamizo mkubwa hivyo kupelekea uwezekano wa kupasuka na kuvujia […]
“Presha yangu haishuki pamoja na kumeza dawa mara kwa mara” Read More »