Nafanya mazoezi lakini uzito wangu haupungui!
“Naitwa Jamila, nina miaka 32, uzito wangu ni kilo 102. Nafanya mazoezi sana lakini sipungui, tatizo ni nini?” Habari yako Jamila, pole sana na hongera kwa kuwa muwazi na kuelezea tatizo lako. Kupungua uzito ni moja ya kitu kigumu kutokea na mara nyingi hatua zake huwa ni changamoto kwani uhitaji nidhamu kubwa ambayo itakutaka […]
Nafanya mazoezi lakini uzito wangu haupungui! Read More »