UTAPIAMLO: Adui wa Akili ya Mwanao!
Neno utapiamlo sio geni masikioni mwako. Bila shaka umelisikia sana sehemu mbalimbali ikiwemo kusoma mahali hasa kwenye Biolojia shule ya msingi au kuwaona watoto wenye utapiamlo. Utapiamlo ni hali ya mwili kukosa uwiano wa virutubisho muhimu kwa maana ya kuwa navyo vingi au pungufu. Jamii huitazama hali hii ya kiafya kwa upande mmoja wa […]
UTAPIAMLO: Adui wa Akili ya Mwanao! Read More »