Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini?
Sahani inayofaa ni kitu gani hasa? Hii ni sahani ya mlo ambayo imebuniwa na wataalamu wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani. Unaweza kujiuliza inapatikana wapi sahani hii inayofaa! Je, inamaanisha sahani zetu tunazotumia nyumbani hazifai? Sahani hii ya mlo unaofaa inakupaswa kuitumia pale unapotaka kula mlo wako wa siku ili uhakikishe […]
Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini? Read More »