PHOBIA: Hofu Kuu Isiyo na Uhalisia.

Mwaka 2005, wakati nikiwa kidato cha kwanza, nilikuwa kwenye taxi ambayo mimi na wenzangu tuliikodi wakati tunarudi shule.   Kipindi hiko madereva taxi walikuwa wanatujaza sana kwenye gari dogo, wakati mwingine mpaka kwenye buti.   Wakati niko kwenye taxi niligundua kwamba milango ikishafungwa nahisi kama vile sina hewa pamoja na gari kuwa na AC. Nilikuwa […]

PHOBIA: Hofu Kuu Isiyo na Uhalisia. Read More »