Athari za ngono ya mdomo kwa afya ya kinywa chako
Habari yako? Leo tutajifunza jambo jipya, lenye ukakasi kidogo, kuhusu afya yako ya kinywa: Athari za ngono ya mdomo kwenye kinywa. Ingawa mada hii, mara nyingi, huepukwa kujadiliwa kwa uwazi katika mazungumzo ya umma au hata kikawaida kati ya marafiki na hata wapenzi, ni muhimu kuijadili kwa ukweli na heshima. Kuelewa hatari zinazoweza […]
Athari za ngono ya mdomo kwa afya ya kinywa chako Read More »