Mafuta ya Alizeti ni Mazuri kwa Kupikia? Nitajuaje Mafuta Sahihi ya Kupikia?

Mafuta ni mojawapo ya kundi muhimu la vyakula vinavyohitajika mwilini. Mafuta pia ni moja kati ya makundi matatu yanayohitajika kwa wingi mwilini. Makundi mengine ni vyakula vya protini na hamirojo, yaani carbohydrates.   Kwanini mafuta ni muhimu? Kazi ya kwanza kabisa ya mafuta mwilini ni kukupatia nishati joto. Huusaidia mwili kupata joto wakati wa baridi. […]

Mafuta ya Alizeti ni Mazuri kwa Kupikia? Nitajuaje Mafuta Sahihi ya Kupikia? Read More »