Je, Ni Sahihi Kutumia Mto Wakati wa Kulala?

“Nikitumia mto wakati wa kulala, naweza kuharibu shingo au mgongo?” “Ni bora kulala bila mto?”   “Yapi matumizi sahihi ya mto?”   “Ipi ni mitindo sahihi ya kulala?”  Haya ni maswali ambayo watu wengi hujiuliza. Ukweli ni kwamba hakuna jibu moja linalofaa kwa kila mtu. Kutumia mto kunaweza kuwa na manufaa, hasa ikiwa unatumika kwa urefu

Je, Ni Sahihi Kutumia Mto Wakati wa Kulala? Read More »