Kwa Nini Taarifa Nyingi Zinaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili? Nawezaje Kujilinda?

Umewahi kujikuta unatumia/umetumia saa moja (au zaidi) uki’scroll Instagram, Facebook, au TikTok bila kufahamu ni muda gani ulianza? Au umeshindwa kulala kwa sababu akili yako bado “inatafuna” habari, video na ujumbe uliovipokea mchana kutwa? Hujakosea na haupo peke yako!  Kila siku, ubongo wako unapokea kiasi kikubwa cha taarifa kupitia mitandao ya kijamii, habari, ujumbe na programu

Kwa Nini Taarifa Nyingi Zinaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili? Nawezaje Kujilinda? Read More »