Coughing which result in back pain

Kwa Nini Mgongo Unaweza Kukuuma Unapokohoa au Kupiga Chafya?

Umewahi kupata maumivu ya mgongo unapokohoa, kupiga chafya au kujikaza wakati wa kwenda chooni? Huenda ulijiuliza kwa nini kitendo cha kawaida kama hiki kinaweza kusababisha maumivu makali. Maumivu haya yanaweza kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo changamoto za misuli, diski za uti wa mgongo au neva. Wakati mwingine, yanaweza kuashiria tatizo linalohitaji uchunguzi wa kitaalamu.  

Kwa Nini Mgongo Unaweza Kukuuma Unapokohoa au Kupiga Chafya? Read More »