“Prebiotics na Probiotics” – Mapacha Wanaolinda Mfumo Wako wa Chakula

Chukulia kwamba mfumo wako wa chakula ni shamba, ambapo viumbe – kwa maana ya microrganisms kama bakteria – hufanya kazi kwa pamoja ili kuleta ustawi wa mazao. Prebiotics ni kama mbolea katika ‘shamba’. Wakati probiotics ni kama mbegu au uoto wenye manufaa katika shamba lako. Tukishaelewa huu mfanano turudi katika bailojia ya mfumo wa chakula. […]

“Prebiotics na Probiotics” – Mapacha Wanaolinda Mfumo Wako wa Chakula Read More »