Tambua Namna na Faida za Kufanya Mfungo Tiba
Mfungo sio dhana mpya kabisa. Tumekuwa tukifunga kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kidini – wakati wa Kwaresma au Mwezi Mtukufu wa Ramadhani – au kupunguza uzito. Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na uelewa mpana wa faida za mfungo kutokana na tafiti za kisayansi kuendelea kuonyesha jinsi ambavyo utaratibu wa kufunga husaidia kupunguza uzito na […]
Tambua Namna na Faida za Kufanya Mfungo Tiba Read More »