“Hakuna Kitu Kigumu Kwangu Kama Kunywa Maji!”

Hii ni kauli ambayo utaisikia sana miongoni mwa watu wengi. Uvivu wa kunywa maji ni jambo la kawaida kwa walio wengi.   Hali hii imekua mazoea kwa watu wengi, hasahasa maeneo ya mjini, na wengi wao wameshajitengenezea visingizio vyao kama sababu. Lakini kuna sababu za muhimu ambazo zinaweza zikamfanya mtu asinywe kiwango sahihi cha maji. […]

“Hakuna Kitu Kigumu Kwangu Kama Kunywa Maji!” Read More »