Kabla Hujamhukumu Mtu, Msikilize: Huenda Anapitia Magumu Usiyoyajua

Ni vigumu kumwelezea mtu mwingine jinsi unavyopitia hali ngumu kwenye maisha yako. Wakati mwingine, hata baada ya kupata ujasiri wa kufunguka na kueleza yanayokusumbua, unaweza kujikuta ukijutia uamuzi wako wa kuzungumza.  Huenda ukatumia siku kadhaa ukitafakari namna ya kueleza hisia zako au changamoto unayopitia. Unaweza kuwaza mazungumzo mtakayokuwa nayo na kujiuliza ikiwa mtu huyo atakuelewa.

Kabla Hujamhukumu Mtu, Msikilize: Huenda Anapitia Magumu Usiyoyajua Read More »