Mahitaji 3 Muhimu ya Afya na Mipaka Yake

Afya yako ina mahitaji mengi. Yapo mahitaji muhimu na lazima na yale muhimu lakini sio lazima sana.   Unaweza kuifananisha afya na nyumba. Inajengwa kwa vipimo maalum. Vifaa vya ujenzi wa afya havipaswi kuwa chini ya mahitaji au zaidi ya mahitaji.     “Ngoma ivumayo sana ndiyo hupasuka” ni methali ya kiswahili itumikayo kuonyesha kwamba […]

Mahitaji 3 Muhimu ya Afya na Mipaka Yake Read More »