“Biomedical Engineer” Anafanya Nini? Zaidi ya Unavyofikiri

Watu wanaposikia maneno Uhandisi wa Biomedical au Uhandisi wa Vifaa Tiba (Biomedical Engineering), moja ya maswali ya kwanza ninayokutana nayo mara nyingi ni: “Basi, unafanya nini hasa?”  Ni swali rahisi, lakini jibu linaenda mbali zaidi ya kurekebisha vifaa vya matibabu.  Biomedical Engineering ni mahali ambapo uhandisi unakutana na dawa. Ni taaluma inayolenga kuhakikisha kuwa teknolojia

“Biomedical Engineer” Anafanya Nini? Zaidi ya Unavyofikiri Read More »