Je, Ni Lazima Kutumia Meno Bandia Ninapopoteza Meno?
Meno bandia – yaani dentures – ni zana unazoweza kutumia kama umepoteza (kung’oa) meno baadhi au yote katika kinywa chako. Zana hizi hukusaidia kurejesha uwezo wako wa kutafuna au kung’ata, kuleta muonekano mzuri na kusaidia uso wako kutokusinyaa. Zana hizi hutengenezwa kulingana na maumbile yako ya kinywa. Hivyo basi, huwezi kwenda duka la […]
Je, Ni Lazima Kutumia Meno Bandia Ninapopoteza Meno? Read More »