maumivu ya mgongo yaliyosababishwa na godoro baya

Unaamka na Maumivu ya Mgongo Kila Asubuhi? Huenda Godoro Lako Lina Jibu!

Wiki iliyopita Rally Polyclinic tulipokea mgonjwa, kwa jina anaitwa Mr. Juma (si jina halisi), mwenye umri wa miaka 38. Ni mfanyakazi wa ofisini ambaye hutumia muda mwingi wa siku akiwa amekaa kwenye kompyuta.  Alinilalamikia kuwa kila asubuhi anapoamka huhisi maumivu na kukakamaa sehemu ya chini ya mgongo. Anapojaribu kuinuka kitandani au kuinama kuvaa viatu, maumivu

Unaamka na Maumivu ya Mgongo Kila Asubuhi? Huenda Godoro Lako Lina Jibu! Read More »