Afya & Teknolojia

Unawekeza kwenye Hospitali au Kituo cha Afya? Fahamu Nyaraka 6 za Kukulinda Kabla ya Kununua Vifaa Tiba

Katika uwekezaji wa sekta ya afya, ununuzi wa vifaa tiba ni mojawapo ya maamuzi yanayohitaji umakini mkubwa. Baadhi ya wawekezaji huzingatia bei, muonekano wa kifaa na ahadi za muuzaji, huku wakisahau nyaraka zinazothibitisha kuwa kifaa kinafaa kwa matumizi yaliyokusudiwa, kinaweza kusakinishwa kwa usalama na kina uwezo wa kufanya kazi kama inavyotakiwa.  Kifaa kinaweza kuwa kipya

Unawekeza kwenye Hospitali au Kituo cha Afya? Fahamu Nyaraka 6 za Kukulinda Kabla ya Kununua Vifaa Tiba Read More »

Biomedical Engineer in Tanzania

Kwa Nini Unapaswa Kumhusisha Biomedical Engineer Kabla ya Kuanzisha Kituo cha Afya?

Katika uwekezaji wa sekta ya afya, wajasiriamali wengi huanza kwa kutafuta kiwanja, kujenga au kukodi majengo, kuajiri wataalamu wa afya na kununua vifaa tiba. Hata hivyo, kuna jambo muhimu ambalo wakati mwingine husahaulika: Kumhusisha Biomedical Engineer tangu hatua za awali za kupanga na kuanzisha kituo cha afya au polyclinic.  Kwanini ni muhimu?  Biomedical Engineer ni

Kwa Nini Unapaswa Kumhusisha Biomedical Engineer Kabla ya Kuanzisha Kituo cha Afya? Read More »

“Biomedical Engineer” Anafanya Nini? Zaidi ya Unavyofikiri

Watu wanaposikia maneno Uhandisi wa Biomedical au Uhandisi wa Vifaa Tiba (Biomedical Engineering), moja ya maswali ya kwanza ninayokutana nayo mara nyingi ni: “Basi, unafanya nini hasa?”  Ni swali rahisi, lakini jibu linaenda mbali zaidi ya kurekebisha vifaa vya matibabu.  Biomedical Engineering ni mahali ambapo uhandisi unakutana na dawa. Ni taaluma inayolenga kuhakikisha kuwa teknolojia

“Biomedical Engineer” Anafanya Nini? Zaidi ya Unavyofikiri Read More »

en_USEN