October 2026

Plantar Fasciitis

Maumivu ya Kisigino Baada ya Kukaa Muda Mrefu au Kuamka Asubuhi: Chanzo & Tiba

Je, umewahi kuamka asubuhi na ulipoweka mguu chini kupiga hatua ya kwanza, ukasikia maumivu makali ya kuchoma kwenye kisigino chako? Au labda baada ya kukaa kwa muda mrefu unaposimama unahisi kama unakanyaga kigingi au sindano chini ya kisigino?   Katika jamii yetu, watu wengi wakipatwa na changamoto hii wanakimbilia kuamini kuwa ni maumivu ya “asidi

Maumivu ya Kisigino Baada ya Kukaa Muda Mrefu au Kuamka Asubuhi: Chanzo & Tiba Read More »

Biomedical Engineer in Tanzania

Kwa Nini Unapaswa Kumhusisha Biomedical Engineer Kabla ya Kuanzisha Kituo cha Afya?

Katika uwekezaji wa sekta ya afya, wajasiriamali wengi huanza kwa kutafuta kiwanja, kujenga au kukodi majengo, kuajiri wataalamu wa afya na kununua vifaa tiba. Hata hivyo, kuna jambo muhimu ambalo wakati mwingine husahaulika: Kumhusisha Biomedical Engineer tangu hatua za awali za kupanga na kuanzisha kituo cha afya au polyclinic.  Kwanini ni muhimu?  Biomedical Engineer ni

Kwa Nini Unapaswa Kumhusisha Biomedical Engineer Kabla ya Kuanzisha Kituo cha Afya? Read More »

Je, Ni Sahihi Kutumia Mto Wakati wa Kulala?

“Nikitumia mto wakati wa kulala, naweza kuharibu shingo au mgongo?” “Ni bora kulala bila mto?”   “Yapi matumizi sahihi ya mto?”   “Ipi ni mitindo sahihi ya kulala?”  Haya ni maswali ambayo watu wengi hujiuliza. Ukweli ni kwamba hakuna jibu moja linalofaa kwa kila mtu. Kutumia mto kunaweza kuwa na manufaa, hasa ikiwa unatumika kwa urefu

Je, Ni Sahihi Kutumia Mto Wakati wa Kulala? Read More »

Coughing which result in back pain

Kwa Nini Mgongo Unaweza Kukuuma Unapokohoa au Kupiga Chafya?

Umewahi kupata maumivu ya mgongo unapokohoa, kupiga chafya au kujikaza wakati wa kwenda chooni? Huenda ulijiuliza kwa nini kitendo cha kawaida kama hiki kinaweza kusababisha maumivu makali. Maumivu haya yanaweza kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo changamoto za misuli, diski za uti wa mgongo au neva. Wakati mwingine, yanaweza kuashiria tatizo linalohitaji uchunguzi wa kitaalamu.  

Kwa Nini Mgongo Unaweza Kukuuma Unapokohoa au Kupiga Chafya? Read More »

El Nino Heavy Rains

Kinga ni Bora Kuliko Tiba: Jinsi El Niño Inavyoweza Kuathiri Afya Baada ya Mvua Kubwa

Je, umesikia kuhusu El Niño? El Niño ni hali ya mabadiliko ya hali ya hewa inayoweza kusababisha mvua nyingi kuliko kawaida. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya kuwa mvua za Vuli za Oktoba hadi Desemba 2026 zitaathiriwa na El Niño yenye nguvu sana. Mvua zinatarajiwa kuongezeka Novemba na kuendelea hadi Januari 2027. Maeneo

Kinga ni Bora Kuliko Tiba: Jinsi El Niño Inavyoweza Kuathiri Afya Baada ya Mvua Kubwa Read More »

Kabla Hujamhukumu Mtu, Msikilize: Huenda Anapitia Magumu Usiyoyajua

Ni vigumu kumwelezea mtu mwingine jinsi unavyopitia hali ngumu kwenye maisha yako. Wakati mwingine, hata baada ya kupata ujasiri wa kufunguka na kueleza yanayokusumbua, unaweza kujikuta ukijutia uamuzi wako wa kuzungumza.  Huenda ukatumia siku kadhaa ukitafakari namna ya kueleza hisia zako au changamoto unayopitia. Unaweza kuwaza mazungumzo mtakayokuwa nayo na kujiuliza ikiwa mtu huyo atakuelewa.

Kabla Hujamhukumu Mtu, Msikilize: Huenda Anapitia Magumu Usiyoyajua Read More »

mwanaume mwenye msongo wa mawazo

Msongo wa Mawazo Unaweza Kupelekea Magonjwa ya Moyo?

Wengi wetu tumezoea kusema, “Nina stress tu, itapita!“; lakini mwili wako hausikii maneno hayo. Mawazo yanayojirudia kila siku kuhusu kazi, pesa, familia au kesho hufikia hadi moyoni.  Kama mshauri wa saikolojia, nimejifunza kwamba watu wengi huchelewa kuchukua hatua kwa sababu hawajui msongo wa mawazo unaweza kuathiri afya ya mwili.   Makala hii inaeleza uhusiano huo

Msongo wa Mawazo Unaweza Kupelekea Magonjwa ya Moyo? Read More »

Kwa Nini Taarifa Nyingi Zinaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili? Nawezaje Kujilinda?

Umewahi kujikuta unatumia/umetumia saa moja (au zaidi) uki’scroll Instagram, Facebook, au TikTok bila kufahamu ni muda gani ulianza? Au umeshindwa kulala kwa sababu akili yako bado “inatafuna” habari, video na ujumbe uliovipokea mchana kutwa? Hujakosea na haupo peke yako!  Kila siku, ubongo wako unapokea kiasi kikubwa cha taarifa kupitia mitandao ya kijamii, habari, ujumbe na programu

Kwa Nini Taarifa Nyingi Zinaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili? Nawezaje Kujilinda? Read More »

en_USEN