Fiziotherapi

Maumivu ya mgongo yanaweza kuisha kweli?

Je, Maumivu ya Mgongo au Kiuno Hupona Kabisa?

“Mgongo wangu umekuwa ukiniuma kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali na mazoezi, lakini baada ya muda maumivu yanarudi. Je, kweli maumivu ya mgongo au kiuno yanaweza kuisha kabisa?” Hili ni swali linaloulizwa na watu wengi. Maumivu ya mgongo au kiuno ni tatizo linaloweza kumpata mtu wa umri wowote. Wakati mwingine huanza baada ya kufanya kazi

Je, Maumivu ya Mgongo au Kiuno Hupona Kabisa? Read More »

Je, Fiziotherapi ni Mazoezi, Mazoezi Tiba, au Huduma Jumuishi ya Matibabu?

DHANA ISIYO YA KWELI: “Fiziotherapi ni mazoezi ya mwili. Mtu anaweza kufanya mwenyewe nyumbani bila kuhitaji mtaalamu wa fiziotherapi!”  UKWELI: Fiziotherapi si mazoezi ya kawaida tu. Ni huduma ya kitaalamu ya afya inayolenga kumsaidia mtu kurejesha, kuboresha au kudumisha uwezo wa mwili wa kufanya kazi na kushiriki katika shughuli za kila siku.  Fiziotherapi huhusisha tathmini

Je, Fiziotherapi ni Mazoezi, Mazoezi Tiba, au Huduma Jumuishi ya Matibabu? Read More »

Fiziotherapia ni Nini? Fahamu Umuhimu Wake kwa Afya na Maisha ya Kila Siku

Fiziotherapia (Physiotherapy) ni taaluma ya afya inayosaidia watu kurejesha, kuboresha na kudumisha uwezo wa mwili wa kufanya shughuli za kila siku.   Mtaalamu wa fiziotherapi, anayejulikana kama Mfiziotherapia (physiotherapist), hutumia njia mbalimbali za kutambua tatizo la mgonjwa kama vile: Kuchukua taarifa za mgonjwa kwa njia ya mahojiano na mgonjwa au ndugu wa mgonjwa (history taking), uchunguzi

Fiziotherapia ni Nini? Fahamu Umuhimu Wake kwa Afya na Maisha ya Kila Siku Read More »

swSW