Afya ya Akili

mwanaume mwenye msongo wa mawazo

Msongo wa Mawazo Unaweza Kupelekea Magonjwa ya Moyo?

Wengi wetu tumezoea kusema, “Nina stress tu, itapita!“; lakini mwili wako hausikii maneno hayo. Mawazo yanayojirudia kila siku kuhusu kazi, pesa, familia au kesho hufikia hadi moyoni.  Kama mshauri wa saikolojia, nimejifunza kwamba watu wengi huchelewa kuchukua hatua kwa sababu hawajui msongo wa mawazo unaweza kuathiri afya ya mwili.   Makala hii inaeleza uhusiano huo

Msongo wa Mawazo Unaweza Kupelekea Magonjwa ya Moyo? Read More »

Kwa Nini Taarifa Nyingi Zinaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili? Nawezaje Kujilinda?

Umewahi kujikuta unatumia/umetumia saa moja (au zaidi) uki’scroll Instagram, Facebook, au TikTok bila kufahamu ni muda gani ulianza? Au umeshindwa kulala kwa sababu akili yako bado “inatafuna” habari, video na ujumbe uliovipokea mchana kutwa? Hujakosea na haupo peke yako!  Kila siku, ubongo wako unapokea kiasi kikubwa cha taarifa kupitia mitandao ya kijamii, habari, ujumbe na programu

Kwa Nini Taarifa Nyingi Zinaweza Kuathiri Afya Yako ya Akili? Nawezaje Kujilinda? Read More »

Usijifanye Uko Sawa: Tafuta Msaada Kisaikolojia

Usijifanye Uko Sawa: Tambua Wakati Unahitaji Msaada wa Kihisia

Umewahi kuwa na siku ambayo ulikuwa unatabasamu, unaongea na watu na kufanya kila kitu ulichotarajiwa kufanya, lakini ndani yako ulikuwa umechoka sana? Labda hakuna mtu aliyegundua. Labda hukutaka mtu yeyote agundue. Ulijiambia, “Nitakuwa sawa.” Ulienda kazini. Ulihakikisha familia yako iko sawa. Ulijibu meseji zako. Ulitabasamu wakati ulipotakiwa kutabasamu. Na mtu alipokuuliza, “Vipi upo poa?” huenda

Usijifanye Uko Sawa: Tambua Wakati Unahitaji Msaada wa Kihisia Read More »

swSW