Dr. Tumaini Philimon Majwala

I am a healthcare provider. I focus on sharing clear, evidence based health information through articles and social media. My goal is to help you understand healthily life. I believe accurate health information improves decisions and lives.

Mapambano Dhidi ya Ukoma Tanzania: Mapendekezo ya Kimkakati

Changamoto zinazobaki katika mapambano dhidi ya ukoma si za kipekee kwa Tanzania. Nchi nyingi zilizokuwa na mzigo mkubwa wa ugonjwa huu zimewahi kukabiliana na changamoto kama za utambuzi wa mapema, contact tracing, unyanyapaa, na matumizi hafifu ya data katika kufanya maamuzi. (Kabla ya kuendelea kusoma makala hii, tafadhali pitia kwanza makala yangu ya “Ugonjwa wa […]

Mapambano Dhidi ya Ukoma Tanzania: Mapendekezo ya Kimkakati Read More »

Ugonjwa wa Ukoma Tanzania: Kutoka Kudhibiti Mpaka Kutokomeza

Safari ya Tanzania katika kupambana na ukoma ni mfano mzuri wa mafanikio kwenye afya ya jamii. Miaka ya nyuma, ugonjwa huu ulileta ulemavu mkubwa, unyanyapaa, na changamoto nyingi za kijamii. Hali hii imebadilika kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji wa Serikali kupitia NTLP, ukisaidiwa na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), WHO, na jamii zenyewe. Hata

Ugonjwa wa Ukoma Tanzania: Kutoka Kudhibiti Mpaka Kutokomeza Read More »

Matibabu ya Google: Fahamu Hatari za Kutegemea Google Search Kwenye Kujitibu

Watu wengi sana tuna Google dalili tulizonazo kabla na baada ya kwenda hospitali, bila shaka hii inaweza kuwa njia ya kuokoa muda, lakini kwa upande mwingine wa shilingi, hatua hii ni hatari kwa Afya yako. Fikiria ni usiku wa manane unashtuka kutoka usingizini, na kinachokupokea cha kwanza ni maumivu makali ya kichwa. Na badala ya

Matibabu ya Google: Fahamu Hatari za Kutegemea Google Search Kwenye Kujitibu Read More »

Mgonjwa wa Kifua Kikuu Akitibiwa Anapona kabisa?

“Daktari nina kikohozi cha zaidi ya wiki mbili sasa na nikikohoa makohozi yanatoka yaliochanganyika na damu, pamoja na kuchoka mwili, vilevile nikilala usiku natokwa na jasho sana”  Hiyo hapo juu ni nukuu ya maelezo ya mgonjwa mmoja alipoamua kufika hospitali baada ya kujaribu kutibu kikohozi kwa zaidi ya wiki mbili bila kupona, alizidi kuona hali

Mgonjwa wa Kifua Kikuu Akitibiwa Anapona kabisa? Read More »

Umuhimu wa Kupima Malaria Kabla ya Kuanza Matibabu

Naomba usome makala hii polepole na kwa utulivu sana, kwa sababu ninakuandikia wewe na sio orodha ya watu, wala takwimu za hospitali.  Ninakuandikia wewe ambaye labda jana au wiki iliyopita umehisi mwili wako haupo sawa sababu unahisi maumivu ya kichwa, baridi kali, joto la ghafla, uchovu usioelezeka. Unakaa chini na kujiuliza, “Nina nini hasa?” Na

Umuhimu wa Kupima Malaria Kabla ya Kuanza Matibabu Read More »

emergency care in tanzania

“Lisaa la Dhahabu”: Siri ya Kuokoa Maisha Unapopata Dharura ya Kiafya

Sekunde chache zinaweza kutofautisha kati ya kupona na kupoteza maisha. Wakati unapokabiliwa na dharura kama ajali, kiharusi (stroke), au shambulio ghafla la moyo, kuna muda muhimu unaoitwa “Saa la Dhahabu”. Hizi ni dakika 60 za kwanza tangu tatizo linapotokea, ambapo mwili unahitaji msaada wa haraka wa kitaalamu ili kuzuia madhara makubwa au ulemavu wa kudumu.

“Lisaa la Dhahabu”: Siri ya Kuokoa Maisha Unapopata Dharura ya Kiafya Read More »

Madhara ya kukaa muda mrefu kwenye kiti

“Kifo Kwenye Kiti”: Fahamu Hatari za Kukaa Muda Mrefu Sehemu Moja

Maisha ya kisasa yanawalazimisha watu wengi kukaa kwenye viti kwa saa nane au zaidi kila siku. Watu wengi hutumia muda mwingi wakiwa wamekaa. Wanafunzi hukaa darasani wakisoma, wafanyakazi hukaa ofisini, na wengi hukaa wakitumia simu au kompyuta. Ulimwengu tunaoishi sasa sio mkubwa kama ilivyokuwa zamani. Zamani watu walikuwa wakitembea kwenda sokoni, kulima, kuwinda, na kusafiri.

“Kifo Kwenye Kiti”: Fahamu Hatari za Kukaa Muda Mrefu Sehemu Moja Read More »

effects of not sleeping well

Jinsi Usingizi Mdogo Unavyoleta Kitambi na Kuongeza Stress

Katika ulimwengu wa sasa wenye kasi, wengi wetu tunajivunia “kukesha.” Tunakesha tukifanya kazi (kumalizia kazi za ofisini), tukiangalia filamu (“episode moja ya mwisho”), tukicheza game au tukipita kwenye mitandao ya kijamii. Tumeanza kuuona usingizi kama anasa au dalili ya uvivu. Unakuta mtu anasema, “Nililala saa tisa alfajiri,” kana kwamba ni tuzo. Lakini, vipi kama nikikuambia

Jinsi Usingizi Mdogo Unavyoleta Kitambi na Kuongeza Stress Read More »

swSW