Matibabu ya Google: Fahamu Hatari za Kutegemea Google Search Kwenye Kujitibu
Watu wengi sana tuna Google dalili tulizonazo kabla na baada ya kwenda hospitali, bila shaka hii inaweza kuwa njia ya kuokoa muda, lakini kwa upande mwingine wa shilingi, hatua hii ni hatari kwa Afya yako. Fikiria ni usiku wa manane unashtuka kutoka usingizini, na kinachokupokea cha kwanza ni maumivu makali ya kichwa. Na badala ya […]
Matibabu ya Google: Fahamu Hatari za Kutegemea Google Search Kwenye Kujitibu Read More »


