Aprili 2026

Nani Mwenye Jukumu la kudhibiti Malaria Kwenye Jamii Yangu?

“Kama Baba Mateso angekuwa ananunua dawa ya mbu ya kuchoma mara kwa mara, familia hii tusingekuwa na Malaria!”  Mama Mateso akiwa analalamika.  Unatamani umuulize swali: Jukumu la kukinga familia dhidi ya malaria ni la nani?   Mama Mateso ni mama wa familia na Mwenyekiti wa Mtaa wa kiongoleni, Kata ya Goba. Familia yake inawindwa sana na […]

Nani Mwenye Jukumu la kudhibiti Malaria Kwenye Jamii Yangu? Read More »

Umuhimu wa Kupima Malaria Kabla ya Kuanza Matibabu

Naomba usome makala hii polepole na kwa utulivu sana, kwa sababu ninakuandikia wewe na sio orodha ya watu, wala takwimu za hospitali.  Ninakuandikia wewe ambaye labda jana au wiki iliyopita umehisi mwili wako haupo sawa sababu unahisi maumivu ya kichwa, baridi kali, joto la ghafla, uchovu usioelezeka. Unakaa chini na kujiuliza, “Nina nini hasa?” Na

Umuhimu wa Kupima Malaria Kabla ya Kuanza Matibabu Read More »

Dalili Kali za Malaria Zinazohitaji Huduma kwa Haraka

Kuna baadhi yetu tunapohisi dalili za malaria, tunakimbilia katika maabara kupima na kwenda kwenye maduka ya dawa kwa ajili ya kupata dawa mseto.  Ni kawaida ya wengi kutafuta tiba mbadala ya malaria kabla ya kwenda hospitali kutokana na sababu mbalimbali za umbali, uchumi na kukwepa adha nyingine.  Je, umeshawahi kujiuliza kwanini unatakiwa kuwahi kituo cha

Dalili Kali za Malaria Zinazohitaji Huduma kwa Haraka Read More »

Bima ya Afya kwa Wote

Kuanzishwa kwa “Bima ya Afya kwa Wote” Tanzania: Itanisaidiaje?

Tanzania imeanza utekelezaji rasmi wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (UHI Act, 2023)  mwanzoni mwa mwaka huu wa 2026. Haya ni mapinduzi katika sekta ya afya yanayolenga kumgusa kila mtanzania. Kabla ya kutazama kwa undani tuanzie hapa: Watanzania tuko katika makundi mawili: Kuna wale ambao wakiumwa hawana wasiwasi, wanajua bima yao ipo. Watu

Kuanzishwa kwa “Bima ya Afya kwa Wote” Tanzania: Itanisaidiaje? Read More »

swSW