Kuna Athari Zozote za Kuongezewa Damu Mwilini?
Kama nilivyoeleza kwenye makala iliyopita (unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa), watu mbalimbali wanahitaji damu kwa mahitaji tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na ujauzito, kufanyiwa upasuaji (operation) mkubwa, watoto kutokana na sababu mbalimbali, wagonjwa wa kansa, waliopata ajali na kupoteza damu nyingi kwa wakati mfupi, na kadhalika. Sio mara zote mtu anapatiwa damu yote kama ilivyotoka […]
Kuna Athari Zozote za Kuongezewa Damu Mwilini? Read More »




